Amos 1:3

3 aHili ndilo asemalo Bwana: “Kwa dhambi tatu za Dameski,
hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.
Kwa sababu aliipura Gileadi
kwa vyombo vya chuma vyenye meno.
Copyright information for SwhKC